Kiturung

Kiturung ilikuwa lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi iliyozungumzwa na Waturung. Siku hizi Waturung wote huzungumza lugha ya Kisingpho, yaani lugha yao ya asili ya Kiturung imetoweka kabisa, ila maneno machache katika utumiaji wao wa Kisingpho. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiturung iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search